Gombo kaya

Karibu kwenye nyumba ya Wandali

Hapa utaweza kupata vitabu, vitu vya  kusikiliza na vya kutazama vyote kwa lugha ya Kindali! Kuna vitabu kwa watu wote, maandishi yaliyorekodiwa na video za kufurahisha! Kama una mawazo au maoni yeyote wasiliana nasi.

Asante sana!

Ndali app QR Code
Ndali app QR Code

Karibu kusoma biblia kwa kindali na kiswahili!

Your encouragement is valuable to us

Your stories help make websites like this possible.